Tovuti ya Mwokozi.com ni huduma ya mafundisho kwa makanisa mengi ya Afrika mashariki. Yanachapisha makala na mafundisho kwa kila mtu kuhusu maisha ya Kikristo.
Joomla East Africa Community, One stop place for sharing knowledge and Joomla resources in East Africa.Joomla Afrika Mashariki
Joomla kwa kiswahili swahili.
Swahiliwood ni chaneli ya video ya kwenye mtandao iliyo rasmi kwa vipindi vya kiswahili. Kuanzia documentary mpaka maigizo, ucheshi na vipindi vingine vya runinga. Tunakuletea kiwango cha juu cha ubora wa burudani za Kiswahili kutoka Afrika Mashariki.
Matukio na Habari za leo za siasa, Biashara, muziki na wanamuziki kutoka Tanzania, Afrika Mashariki, Afrika na Ulimwenguni Kote kwa ujumla. Pia pata habari za vyuo na unaweza kupata fomu za kujiunga za vyuo.
Wahapahapa ni kitovu/kiunganishi cha habari motomoto zinazohusiana na tasnia ya muziki wa zinazojiri katika blogusfia ya Tanzania.
Pia kuna video nyingi motomoto za wasanii wa Kitanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Pamoja na mchezo wa radio wa Wahapa
Pata Habari moto moto na za uhakika iwe za Kitaifa, Kimataifa, Biashara, Michezo na Burudani, bila kusahau makala mbalimbali za afya, teknolojia, fasheni na urembo kutoka nje na ndani ya Tanzania.
Ufanisi ICT Africa is an African Organisation that designs and develops computer applications, websites, graphics
and multimedia services/products across East Africa
Ufanisi ICT Africa is an African Organisation that designs and develops computer applications, websites, graphics
and multimedia services/products across East Africa